Kulia Mkurugenzi wa mbeya trade fair,mratibu wa mbeya trade fair,Mtendaji wa kata ya Ilomba wakimpokea mkuu wa wilaya ya mbeya
Burudani ya ngoma za asili zikimpokea mgeni rasmi.
Mratibu wa Mbeya Trade Fair kulia,Mkuu wa Wilaya ya Mbeya,Afisa masoko pepsi na Mkurugenzi
wambeya trade fair wakibadilishana mawazo kwenye ufunguzi wa maonyesho Tareh 07/11/2012
Mkurugenzi wa Mbeya Trade Fair akikalibisha Ngoma za asili kubuludisha.
Mratibu wa Mbeya Trade Fair akimtembeza mgeni rasmi kwa wajasiliamali
No comments:
Post a Comment